Isaya 14:16
Wale wanaokuona wanakukazia macho, 2 wanatafakari hatima yako: 1 “Je, huyu ndiye yule aliyetikisa dunia 2 na kufanya falme zitetemeke, 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
15Lakini umeshushwa chini hadi kuzimu, 2 hadi kwenye vina vya shimo. 1
Cross References
Psalms 58:10Wenye haki watafurahi waonapo wakilipizwa kisasi, 2 watakapochovya nyayo zao katika damu ya waovu. 1
Isaiah 14:4utaichukua dhihaka hii dhidi ya mfalme wa Babeli: 1 Tazama jinsi mtesi alivyofikia mwisho! 2 Tazama jinsi ghadhabu yake kali ilivyokoma! 1
Jeremiah 51:20“Wewe ndiwe rungu langu la vita, 2 silaha yangu ya vita: 1 kwa wewe navunjavunja mataifa, 2 kwa wewe naangamiza falme, 1
Ezekiel 32:27Je, hawakulala na mashujaa wengine wasiotahiriwa waliouawa, ambao wameshuka kaburini wakiwa na silaha zao za vita, ambao panga zao ziliwekwa chini ya vichwa vyao na uovu wao juu ya mifupa yao? Adhabu kwa ajili ya dhambi zao ilikuwa juu ya mifupa yao, ingawa vitisho vya mashujaa hawa vilikuwa vimeenea hadi kwenye nchi ya walio hai.