The Bible Software
bible.softwareIsayaIsaya 14 › Isaya 14:17

Isaya 14:17

yule aliyeifanya dunia kuwa jangwa, 2 aliyeipindua miji yake, 1 na ambaye hakuwaachia mateka wake 2 waende nyumbani?” 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

That made the world as a wilderness, and destroyed the cities thereof; that opened not the house of his prisoners?

In Context

16Wale wanaokuona wanakukazia macho, 2 wanatafakari hatima yako: 1 “Je, huyu ndiye yule aliyetikisa dunia 2 na kufanya falme zitetemeke, 1

18Wafalme wote wa mataifa wamelala kwa heshima 2 kila mmoja katika kaburi lake. 1

Read all of Isaya 14

Cross References

2 Chronicles 28:8Waisraeli wakawachukua mateka kutoka ndugu zao, watu wapatao 200,000 hawa wakiwa ni wanawake, watoto wa kiume na wa kike. Wakachukua pia kiasi kikubwa cha nyara, ambazo walirudi nazo Samaria.

Isaiah 13:19Babeli, johari ya falme, 2 utukufu wa kiburi cha Wababeli, + 13:19 Wababeli hapa maana yake ni Wakaldayo. 1 itaangushwa na Mungu 2 kama Sodoma na Gomora. 1

Isaiah 58:6“Je, hii si ndiyo aina ya mfungo niliyoichagua: 2 kufungua minyororo ya udhalimu, 2 na kufungua kamba za nira, 1 kuwaweka huru walioonewa, 2 na kuvunja kila nira? 1

Ezekiel 6:14Nami nitanyoosha mkono wangu dhidi yao na kuifanya nchi yao ukiwa, kuanzia jangwani hadi Dibla, kila mahali wanapoishi. Ndipo watakapojua ya kwamba Mimi ndimi Bwana.’ ”

Joel 2:3Mbele yao moto unateketeza, 2 nyuma yao miali ya moto 2 inawaka kwa nguvu. 1 Mbele yao nchi iko kama bustani ya Edeni, 2 nyuma yao ni jangwa lisilofaa: 2 hakuna kitu kinachowaepuka. 1

Zephaniah 2:13Mungu atanyoosha mkono wake dhidi ya kaskazini 2 na kuangamiza Waashuru, 1 akiiacha Ninawi ukiwa 2 na pakame kama jangwa. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 14:17

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaya 14:16Isaya 14Isaya 14:18 →