The Bible Software
bible.software › Isaya › Isaya 14 › Isaya 14:15

Isaya 14:15

Lakini umeshushwa chini hadi kuzimu, 2 hadi kwenye vina vya shimo. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Yet thou shalt be brought down to hell, to the sides of the pit.

In Context

14Nitapaa juu kupita mawingu, 2 nitajifanya kama Yeye Aliye Juu Sana.” 1

16Wale wanaokuona wanakukazia macho, 2 wanatafakari hatima yako: 1 “Je, huyu ndiye yule aliyetikisa dunia 2 na kufanya falme zitetemeke, 1

Read all of Isaya 14

Cross References

Isaiah 2:11Macho ya mtu mwenye majivuno yatanyenyekezwa 2 na kiburi cha wanadamu kitashushwa, 1 Bwana peke yake ndiye atakayetukuzwa siku hiyo. 1

Isaiah 14:3Katika siku Bwana atakapokuondolea mateso, udhia na utumwa wa kikatili,

Ezekiel 31:14Kamwe hakutakuwa na miti mingine kando ya hayo maji itakayorefuka zaidi ya huo, vilele vyake vikiwa juu ya majani yote ya miti. Hakuna miti mingine, hata kama imekunywa maji vizuri namna gani, itakayofikia urefu huo. Yote mwisho wake ni kifo, na kuingia ardhini, kama vile ilivyo kwa wanadamu, pamoja na wale waendao shimoni.

Obadiah 1:3Kiburi cha moyo wako kimekudanganya, 2 wewe unayeishi katika majabali ya miamba 2 na kufanya makao yako juu, 1 wewe unayejiambia mwenyewe, 2 ‘Ni nani awezaye kunishusha chini?’ 1

Luke 10:15Nawe, Kapernaumu, je, utainuliwa hadi mbinguni? La hasha, utashushwa mpaka kuzimu.”

Revelation 19:20Lakini yule mnyama akakamatwa pamoja na huyo nabii wa uongo ambaye alikuwa amefanya ishara kwa niaba ya huyo mnyama, ambaye kwa ishara hizi aliwadanganya wale waliopokea chapa ya huyo mnyama na kuiabudu sanamu yake. Hawa wawili wakatupwa wakiwa hai ndani ya ziwa la moto liwakalo kwa kiberiti.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 14:15

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaya 14:14Isaya 14Isaya 14:16 →