The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 14 › Isaiah 14:21

Isaiah 14:21

Andaa mahali pa kuwachinjia wanawe 2 kwa ajili ya dhambi za baba zao, 1 wasije wakainuka ili kuirithi nchi 2 na kuijaza dunia kwa miji yao. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Prepare slaughter for his children for the iniquity of their fathers; that they do not rise, nor possess the land, nor fill the face of the world with cities.

In Context

20Hutajumuika nao kwenye mazishi, 1 kwa kuwa umeharibu nchi yako 2 na kuwaua watu wako. 1 Mzao wa mwovu 2 hatatajwa tena kamwe. 1

22Bwana Mwenye Nguvu Zote asema, 2 “Nitainuka dhidi yao, 1 nitalikatilia mbali jina lake kutoka Babeli pamoja na watu wake walionusurika, 2 watoto wake na wazao wake,” 4 asema Bwana. 1

Read all of Isaiah 14

Cross References

Leviticus 26:39Wale wenu watakaobaki wataangamia katika nchi za adui zao kwa sababu ya dhambi zao; pia kwa sababu ya dhambi za baba zao wataangamia.

Habakkuk 2:8Kwa kuwa umeteka nyara mataifa mengi, 2 watu waliobaki watakuteka nyara wewe. 1 Kwa kuwa umemwaga damu ya mtu; 2 umeharibu nchi na miji, na kila mmoja ndani yake. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 14:21

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 14:20Isaiah 14Isaiah 14:22 →