Isaiah 14:22
Bwana Mwenye Nguvu Zote asema, 2 “Nitainuka dhidi yao, 1 nitalikatilia mbali jina lake kutoka Babeli pamoja na watu wake walionusurika, 2 watoto wake na wazao wake,” 4 asema Bwana. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
1 Kings 14:10“ ‘Kwa sababu ya hili, nitaleta maafa juu ya nyumba ya Yeroboamu. Nitakatilia mbali kutoka kwa Yeroboamu kila mzaliwa wa mwisho wa kiume katika Israeli, mtumwa au mtu huru. Nitachoma nyumba ya Yeroboamu mpaka iteketee yote kama mtu achomaye kinyesi.
Job 18:19Hana mtoto wala mzao miongoni mwa watu wake, 2 wala aliyenusurika mahali alipoishi. 1
Proverbs 10:7Kumbukumbu ya mwenye haki itakuwa baraka, 2 lakini jina la mwovu litaoza. 1
Isaiah 21:9Tazama, yuaja mtu anayepanda gari la vita 2 pamoja na kundi la farasi. 1 Naye anajibu: 2 ‘Babeli umeanguka, umeanguka! 1 Vinyago vyote vya miungu yake 2 vimelala chini vikiwa vimevunjwa!’ ” 1
Isaiah 47:9Haya mawili yatakupata, kufumba na kufumbua, 2 katika siku moja: 2 kufiwa na watoto, na ujane. 1 Yote yatakupata kwa kipimo kikamilifu, 2 ijapokuwa uchawi wako ni mwingi, 2 na uaguzi wako ni mwingi. 1
Jeremiah 50:29“Waiteni wapiga mishale dhidi ya Babeli, 2 wote wale wavutao upinde. 1 Pigeni kambi kumzunguka kabisa, 2 asitoroke mtu yeyote. 1 Mlipizeni kwa matendo yake; 2 mtendeeni kama alivyotenda. 1 Kwa kuwa alimdharau Bwana, 2 yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli. 1