Isaya 14:20
Hutajumuika nao kwenye mazishi, 1 kwa kuwa umeharibu nchi yako 2 na kuwaua watu wako. 1 Mzao wa mwovu 2 hatatajwa tena kamwe. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Job 18:16Mizizi yake chini itakauka 2 na matawi yake juu yatanyauka. 1
Job 18:19Hana mtoto wala mzao miongoni mwa watu wake, 2 wala aliyenusurika mahali alipoishi. 1
Psalms 37:28Kwa kuwa Bwana huwapenda wenye haki 2 naye hatawaacha waaminifu wake. 1 Watalindwa milele, 2 lakini uzao wa waovu utakatiliwa mbali. 1
Psalms 137:8Ee binti Babeli, uliyehukumiwa kuangamizwa, 2 heri yeye atakayekulipiza wewe 2 kwa yale uliyotutenda sisi: 1
Isaiah 13:15Yeyote atakayetekwa atapasuliwa tumbo, 2 wote watakaokamatwa watauawa kwa upanga. 1