Isaiah 14:7
Nchi zote ziko kwenye mapumziko na kwenye amani, 2 wanabubujika kwa kuimba. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The whole earth is at rest, and is quiet: they break forth into singing.
In Context
Cross References
Psalms 98:1Mwimbieni Bwana wimbo mpya, 2 kwa maana ametenda mambo ya ajabu; 1 kitanga chake cha kuume na mkono wake mtakatifu 2 umemfanyia wokovu. 1
Psalms 126:1Bwana alipowarejeza mateka Sayuni, 2 tulikuwa kama watu walioota ndoto. 1
Isaiah 21:2Nimeonyeshwa maono ya kutisha: 2 Msaliti anasaliti, mteka nyara anateka nyara. 1 Elamu, shambulia! Umedi, izunguke kwa jeshi! 2 Nitakomesha huzuni zote alizosababisha. 1
Jeremiah 51:48Ndipo mbingu na dunia na vyote vilivyomo ndani yake 2 vitapiga kelele za shangwe juu ya Babeli, 1 kwa kuwa kutoka kaskazini 2 waharabu watamshambulia,” 4 asema Bwana. 1
Revelation 18:20Furahia kwa ajili yake, ee mbingu! 2 Furahini watakatifu, mitume na manabii! 1 Mungu amemhukumu 2 kwa vile alivyowatendea ninyi.’ ”