Isaiah 21:2
Nimeonyeshwa maono ya kutisha: 2 Msaliti anasaliti, mteka nyara anateka nyara. 1 Elamu, shambulia! Umedi, izunguke kwa jeshi! 2 Nitakomesha huzuni zote alizosababisha. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 10:22Wana wa Shemu walikuwa: 2 Elamu, Ashuru, Arfaksadi, Ludi na Aramu. 1
Psalms 12:5“Kwa sababu ya uonevu wa wanyonge 2 na kulia kwa uchungu kwa wahitaji, 1 nitainuka sasa,” asema Bwana. 2 “Nitawalinda kutokana na wale 2 wenye nia mbaya juu yao.” 1
Psalms 79:11Kilio cha huzuni cha wafungwa kifike mbele zako; 2 kwa nguvu za mkono wako 2 hifadhi wale waliohukumiwa kufa. 1
Proverbs 13:15Ufahamu mzuri hupata upendeleo, 2 bali njia ya asiye mwaminifu ni ngumu. 1
Isaiah 13:2Twekeni bendera juu ya mlima usio na kitu, 2 wapazieni sauti, 1 wapungieni mkono waingie 2 katika malango ya wenye heshima. 1
Isaiah 14:1Bwana atamhurumia Yakobo, 2 atamchagua Israeli tena, 2 na kuwakalisha katika nchi yao wenyewe. 1 Wageni wataungana nao 2 na kujiunga na nyumba ya Yakobo. 1