Isaya 14:8
Hata misunobari na mierezi ya Lebanoni 2 inashangilia mbele yako na kusema, 1 “Basi kwa sababu umeangushwa chini, 2 hakuna mkata miti atakayekuja kutukata.” 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
7Nchi zote ziko kwenye mapumziko na kwenye amani, 2 wanabubujika kwa kuimba. 1
Cross References
Isaiah 55:12Mtatoka nje kwa furaha 2 na kuongozwa kwa amani; 1 milima na vilima 2 vitapaza sauti kwa nyimbo mbele yenu, 1 nayo miti yote ya shambani 2 itapiga makofi. 1
Zechariah 11:2Piga yowe, ee mti wa msunobari, 2 kwa kuwa mwerezi umeanguka; 2 miti ya fahari imeharibiwa! 1 Piga yowe, enyi mialoni ya Bashani, 2 msitu mnene umefyekwa! 1