bible.software › Isaya › Isaya 14 › Isaya 14:10
Isaya 14:10
Wote wataitikia, 2 watakuambia, 1 “Wewe pia umekuwa dhaifu, kama sisi tulivyo; 2 wewe umekuwa kama sisi.” 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
All they shall speak and say unto thee, Art thou also become weak as we? art thou become like unto us?
In Context
9Kuzimu kote kumetaharuki 2 kukulaki unapokuja, 1 kunaamsha roho za waliokufa ili kukupokea, 2 wote waliokuwa viongozi katika ulimwengu, 1 kunawafanya wainuke kwenye viti vyao vya kifalme: 2 wale wote waliokuwa wafalme juu ya mataifa. 1
11Majivuno yako yote yameshushwa mpaka kuzimu, 2 pamoja na kelele ya vinubi vyako, 1 mafunza yametanda chini yako, 2 na minyoo imekufunika. 1
Read all of Isaya 14
Cross References
Psalms 49:6wale wanaotegemea mali zao 2 na kujivunia utajiri wao mwingi? 1
Psalms 82:6“Nilisema, ‘Ninyi ni “miungu”; 2 ninyi nyote ni wana wa Aliye Juu Sana.’ 1
Ezekiel 32:21Kutoka kuzimu viongozi hodari watanena kuhusu Misri pamoja na wale walioungana nao, ‘Wameshuka chini, nao wamelala kimya pamoja na hao wasiotahiriwa, pamoja na wale waliouawa kwa upanga.’
This Verse In Other Editions
Study Isaya 14:10