Isaya 15:3
Wamevaa nguo za magunia barabarani, 2 juu ya mapaa na kwenye viwanja 1 wote wanaomboleza, 2 wamelala kifudifudi kwa kulia. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
2 Samuel 3:31Kisha Daudi akamwambia Yoabu na watu wote aliokuwa pamoja nao, “Rarueni nguo zenu na mvae nguo za gunia na mtembee mkiomboleza mbele ya Abneri.” Mfalme Daudi mwenyewe akatembea nyuma ya jeneza.
Isaiah 15:2Diboni anakwea hadi kwenye hekalu lake, 2 mpaka mahali pake pa juu ili walie, 2 Moabu anaombolezea Nebo na Medeba. 1 Kila kichwa kimenyolewa 2 na kila ndevu limeondolewa. 1
Isaiah 22:4Kwa hiyo nilisema, “Geukia mbali nami, 2 niache nilie kwa uchungu. 1 Usijaribu kunifariji 2 juu ya maangamizi ya watu wangu.” 1
Jeremiah 48:38Juu ya mapaa yote katika Moabu 2 na katika viwanja 1 hakuna kitu chochote isipokuwa maombolezo, 2 kwa kuwa nimemvunja Moabu 2 kama gudulia ambalo hakuna mtu yeyote anayelitaka,” 4 asema Bwana. 1
Jonah 3:6Habari zilipomfikia mfalme wa Ninawi, aliondoka kwenye kiti chake cha enzi, akavua majoho yake ya kifalme, akajifunika nguo ya gunia kisha akaketi chini mavumbini.