Isaiah 22:4
Kwa hiyo nilisema, “Geukia mbali nami, 2 niache nilie kwa uchungu. 1 Usijaribu kunifariji 2 juu ya maangamizi ya watu wangu.” 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Ruth 1:20Akawaambia, “Msiniite tena Naomi, + 1:20 Naomi maana yake Wa Kupendeza, Wa Kufurahisha. niiteni Mara, + 1:20 Mara maana yake Chungu. kwa sababu Mwenyezi + 1:20 Mwenyezi hapa ina maana ya Shaddai kwa Kiebrania. amenitendea mambo machungu sana.
Psalms 77:2Nilipokuwa katika taabu, nilimtafuta Bwana, 2 usiku nilinyoosha mikono bila kuchoka 2 na nafsi yangu ilikataa kufarijika. 1
Isaiah 33:7Angalia, watu wake mashujaa wanapiga kelele kwa nguvu barabarani, 2 wajumbe wa amani wanalia kwa uchungu. 1
Jeremiah 6:26Enyi watu wangu, vaeni magunia 2 mjivingirishe kwenye majivu, 1 ombolezeni kwa kilio cha uchungu 2 kama amliliaye mwana pekee, 1 kwa maana ghafula 2 mharabu atatujia. 1
Jeremiah 9:1Laiti kichwa changu kingekuwa chemchemi ya maji 2 na macho yangu yangekuwa kisima cha machozi! 1 Ningelia usiku na mchana 2 kwa kuuawa kwa watu wangu. 1
Jeremiah 31:15Hili ndilo asemalo Bwana: 1 “Sauti imesikika huko Rama, 2 maombolezo na kilio kikubwa, 1 Raheli akiwalilia watoto wake 2 na anakataa kufarijiwa, 2 kwa sababu watoto wake hawako tena.”