The Bible Software
bible.softwareJonahJonah 3 › Jonah 3:6

Jonah 3:6

Habari zilipomfikia mfalme wa Ninawi, aliondoka kwenye kiti chake cha enzi, akavua majoho yake ya kifalme, akajifunika nguo ya gunia kisha akaketi chini mavumbini.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

For word came unto the king of Nineveh, and he arose from his throne, and he laid his robe from him, and covered him with sackcloth, and sat in ashes.

In Context

5Watu wa Ninawi wakamwamini Mungu, wakatangaza kufunga, watu wote kuanzia mkubwa sana hadi yule mdogo kabisa, wakavaa nguo za gunia.

7Ndipo akatoa tangazo katika Ninawi yote: “Kwa amri ya mfalme na wakuu wake: “Msiruhusu mtu yeyote au mnyama, makundi ya ngʼombe au wanyama wengine wafugwao, kuonja kitu chochote, msiwaruhusu kula wala kunywa.

Read all of Jonah 3

Cross References

Esther 4:1Mordekai alipojua yote yaliyokwisha kufanyika, alirarua mavazi yake na kuvaa nguo za magunia na kujipaka majivu, akaenda mjini, akiomboleza kwa sauti na kwa uchungu.

Job 2:8Ndipo Ayubu akachukua kigae na kujikuna nacho huku akiketi kwenye majivu.

Psalms 2:10Kwa hiyo, ninyi wafalme, kuweni na hekima; 2 mwonyeke, enyi watawala wa dunia. 1

Jeremiah 13:18Mwambie mfalme na mamaye, 2 “Shukeni kutoka kwenye viti vyenu vya enzi, 1 kwa kuwa taji zenu za utukufu 2 zitaanguka kutoka vichwani mwenu.” 1

Lamentations 3:29Na azike uso wake mavumbini 2 bado panawezekana kuwa na matumaini. 1

Daniel 9:3Kwa hiyo nikamgeukia Bwana Mungu na kumsihi katika maombi na dua, katika kufunga, na kuvaa nguo ya gunia na kujipaka majivu.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Jonah 3:6

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Jonah 3:5Jonah 3Jonah 3:7 →