The Bible Software
bible.softwareIsayaIsaya 15 › Isaya 15:6

Isaya 15:6

Maji ya Nimrimu yamekauka 2 na majani yamenyauka; 1 mimea imekauka wala hakuna 2 kitu chochote kibichi kilichobaki. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

For the waters of Nimrim shall be desolate: for the hay is withered away, the grass faileth, there is no green thing.

In Context

5Moyo wangu unamlilia Moabu; 2 wakimbizi wake wanakimbilia Soari, 2 hadi Eglath-Shelishiya. 1 Wanapanda njia ya kwenda Luhithi, 2 wanakwenda huku wanalia; 1 barabarani iendayo Horonaimu 2 wanaombolezea maangamizi yao. 1

7Kwa hiyo mali waliyoipata na kujiwekea akiba 2 wamezichukua na kuvuka Bonde la Mierebi. 1

Read all of Isaya 15

Cross References

Numbers 32:36Beth-Nimra na Beth-Harani kama miji iliyozungushiwa ngome, tena wakajenga mazizi kwa ajili ya makundi yao ya mbuzi na kondoo.

Isaiah 16:9Hivyo ninalia kama Yazeri aliavyo, 2 kwa ajili ya mizabibu ya Sibma. 1 Ee Heshboni, ee Eleale, 2 ninakulowesha kwa machozi! 1 Kelele za furaha kwa ajili ya tunda lako lililoiva 2 na kwa ajili ya mavuno zimekomeshwa. 1

Jeremiah 48:34“Sauti ya kilio chao inapanda 2 kutoka Heshboni hadi Eleale na Yahazi, 1 kutoka Soari hadi Horonaimu na Eglath-Shelishiya, 2 kwa kuwa hata maji ya Nimrimu yamekauka. 1

Habakkuk 3:17Ingawa mtini hauchanui maua 2 na hakuna zabibu juu ya mizabibu, 1 ingawaje mzeituni hauzai, 2 na hata mashamba hayatoi chakula, 1 iwapo hakuna kondoo katika banda, 2 wala ngʼombe katika zizi, 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 15:6

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaya 15:5Isaya 15Isaya 15:7 →