Isaiah 16:9
Hivyo ninalia kama Yazeri aliavyo, 2 kwa ajili ya mizabibu ya Sibma. 1 Ee Heshboni, ee Eleale, 2 ninakulowesha kwa machozi! 1 Kelele za furaha kwa ajili ya tunda lako lililoiva 2 na kwa ajili ya mavuno zimekomeshwa. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Isaiah 9:3Umelikuza taifa, 2 na kuzidisha furaha yao, 1 wanafurahia mbele zako, 2 kama watu wanavyofurahia wakati wa mavuno, 1 kama watu wafurahivyo 2 wagawanyapo nyara. 1
Jeremiah 40:10Mimi mwenyewe nitakaa Mispa ili kuwawakilisha mbele ya Wakaldayo wanaotujia, lakini ninyi mtavuna divai, matunda ya kiangazi na mafuta, nanyi mtaweka katika vyombo vyenu vya kuhifadhia, na kuishi katika miji mliyojitwalia.”
Jeremiah 48:32Ninalia machozi kwa ajili yenu, kama Yazeri aliavyo, 2 enyi mizabibu ya Sibma. 1 Matawi yako yameenea hadi baharini; 2 yamefika hadi bahari ya Yazeri. 1 Mharabu ameyaangukia matunda yako yaliyoiva 2 na mizabibu yako iliyoiva. 1