Isaya 16:12
Wakati Moabu anapojitokeza mahali pake pa juu, 2 anajichosha mwenyewe tu; 1 anapokwenda mahali pake pa kuabudia miungu ili kuomba, 2 haitamfaidi lolote.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
13Hili ndilo neno ambalo Bwana ameshasema kuhusu Moabu.
Cross References
Numbers 22:41Asubuhi iliyofuata Balaki akamchukua Balaamu mpaka Bamoth-Baali, na kutoka huko Balaamu akawaona baadhi ya watu.
Numbers 23:28Balaki akamchukua Balaamu juu ya Mlima Peori, unaotazamana na nyika.
1 Kings 11:7Kwenye kilima mashariki mwa Yerusalemu, Solomoni akajenga mahali pa juu kwa ajili ya Kemoshi chukizo la Wamoabu, na kwa Moleki mungu chukizo la Waamoni.
2 Kings 3:27Ndipo akamchukua mwanawe mzaliwa wake wa kwanza, ambaye angekuwa mfalme baada yake, akamtoa kama dhabihu ya kuteketezwa juu ya ukuta wa mji. Ghadhabu ikawa kubwa dhidi ya Israeli; wakajiondoa kwake na kurudi katika nchi yao wenyewe.
2 Kings 19:16Tega sikio, Ee Bwana, usikie; fungua macho yako, Ee Bwana, uone; sikiliza maneno ambayo Senakeribu ametuma kumtukana Mungu aliye hai.
Proverbs 1:28“Ndipo watakaponiita lakini sitawajibu; 2 watanitafuta lakini hawatanipata. 1