Proverbs 1:28
“Ndipo watakaponiita lakini sitawajibu; 2 watanitafuta lakini hawatanipata. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
29Kwa kuwa walichukia maarifa, 2 wala hawakuchagua kumcha Bwana, 1
Cross References
Deuteronomy 1:45Mlirudi na kulia mbele za Bwana, lakini Mungu hakusikiliza kilio chenu, wala hakuwajali.
Job 27:9Je, Mungu husikiliza kilio chake, 2 shida zimjiapo? 1
Psalms 18:41Walipiga yowe, lakini hapakuwepo na yeyote wa kuwaokoa; 2 walimlilia Bwana, lakini hakuwajibu. 1
Psalms 78:34Kila mara Mungu alipowaua baadhi yao, 2 waliosalia walimtafuta, 2 walimgeukia tena kwa shauku. 1
Isaiah 1:15Mnaponyoosha mikono yenu katika maombi, 2 nitaficha macho yangu nisiwaone; 1 hata mkiomba maombi mengi 2 sitasikiliza. 1 Mikono yenu imejaa damu; 2
Jeremiah 14:12Ingawa wanafunga, sitasikiliza kilio chao; hata wakitoa dhabihu za kuteketezwa na dhabihu za nafaka, sitazikubali. Badala yake, nitawaangamiza kwa upanga, njaa na tauni.”