Isaya 16:11
Moyo wangu unaomboleza kwa ajili ya Moabu kama kinubi, 2 nafsi yangu yote kwa ajili ya Kir-Haresethi. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Wherefore my bowels shall sound like an harp for Moab, and mine inward parts for Kir-haresh.
In Context
Cross References
Isaiah 21:3Katika hili mwili wangu umeteswa na maumivu, 2 maumivu makali ya ghafula yamenishika, 2 kama yale ya mwanamke mwenye utungu wa kuzaa. 2 Nimeduwazwa na lile ninalolisikia, 2 nimeshangazwa na lile ninaloliona. 1
Jeremiah 4:19Ee mtima wangu, mtima wangu! 2 Ninagaagaa kwa maumivu. 1 Ee maumivu makuu ya moyo wangu! 2 Moyo wangu umefadhaika ndani yangu, 2 siwezi kunyamaza. 1 Kwa sababu nimesikia sauti ya tarumbeta, 2 nimesikia kelele ya vita. 1
Jeremiah 48:36“Kwa hiyo moyo wangu unaomboleza kwa ajili ya Moabu kama filimbi; 2 unaomboleza kama filimbi kwa ajili ya watu wa Kir-Haresethi. 2 Utajiri waliojipatia umetoweka. 1
Philippians 2:1Kama kukiwa na jambo lolote la kutia moyo katika kuunganishwa na Kristo, kukiwa faraja yoyote katika upendo wake, kukiwa na ushirika wowote na Roho, kukiwa na wema wowote na huruma,