The Bible Software
bible.softwareIsayaIsaya 18 › Isaya 18:5

Isaya 18:5

Kwa maana, kabla ya mavuno, 2 wakati wa kuchanua ukishapita 2 na maua yakawa zabibu zinazoiva, 1 atayakata machipukizi kwa mundu wa kupogolea matawi, 2 naye atakata na kuyaondoa matawi yaliyopanuka. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

For afore the harvest, when the bud is perfect, and the sour grape is ripening in the flower, he shall both cut off the sprigs with pruninghooks, and take away and cut down the branches.

In Context

4Hili ndilo Bwana aliloniambia: 2 “Nitatulia kimya na kutazama 2 kutoka maskani yangu, 1 kama joto linalometameta katika mwanga wa jua, 2 kama wingu la umande 2 katika joto la wakati wa mavuno.” 1

6Yote yataachwa kwa ajili ya ndege wawindao wa mlimani 2 na wanyama pori, 1 ndege watajilisha juu yake wakati wote wa kiangazi, 2 nao wanyama pori wakati wote wa masika.

Read all of Isaya 18

Cross References

Song of Solomon 2:15Tukamatie mbweha, 2 mbweha wale wadogo 1 wanaoharibu mashamba ya mizabibu, 2 mashamba yetu ya mizabibu yaliyochanua. Mpendwa 1

Isaiah 17:10Mmemsahau Mungu Mwokozi wenu, 2 hamkumkumbuka Mwamba aliye ngome yenu. 1 Kwa hiyo, hata ingawa mlipandikiza mimea iliyo mizuri sana 2 na kuotesha mizabibu ya kigeni, 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 18:5

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaya 18:4Isaya 18Isaya 18:6 →