Isaya 18:6
Yote yataachwa kwa ajili ya ndege wawindao wa mlimani 2 na wanyama pori, 1 ndege watajilisha juu yake wakati wote wa kiangazi, 2 nao wanyama pori wakati wote wa masika.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Isaiah 14:19Lakini wewe umetupwa nje ya kaburi lako 2 kama tawi lililokataliwa, 1 umefunikwa na waliouawa 2 pamoja na wale waliochomwa kwa upanga, 1 wale washukao mpaka 2 kwenye mawe ya shimo. 1 Kama mzoga uliokanyagwa chini ya nyayo, 2
Isaiah 56:9Njooni, enyi wanyama wote wa kondeni, 2 njooni mle, ninyi wanyama wote wa mwituni! 1
Jeremiah 15:3Bwana asema, “Nitatuma aina nne za waharabu dhidi yao: nazo ni upanga ili kuua na mbwa ili wakokote mbali, ndege wa angani na wanyama wa nchi ili kula na kuangamiza.
Ezekiel 32:4Nitakutupa nchi kavu 2 na kukuvurumisha uwanjani. 1 Nitawafanya ndege wote wa angani watue juu yako 2 na wanyama wote wa nchi 2 watajishibisha nyama yako. 1
Revelation 19:17Nami nikamwona malaika amesimama ndani kwenye jua, akaita ndege wote warukao angani kwa sauti kuu, “Njooni, kusanyikeni kwa ajili ya karamu kubwa ya Mungu,