Isaya 17:10
Mmemsahau Mungu Mwokozi wenu, 2 hamkumkumbuka Mwamba aliye ngome yenu. 1 Kwa hiyo, hata ingawa mlipandikiza mimea iliyo mizuri sana 2 na kuotesha mizabibu ya kigeni, 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Leviticus 26:16ndipo nitakapowafanyia hili: Nitawaletea juu yenu hofu ya ghafula, magonjwa ya kufisha, na homa itakayopofusha macho yenu na kuwaondolea uhai wenu. Mtapanda mbegu bila mafanikio, kwa sababu adui zenu wataila.
Deuteronomy 6:12jihadhari usije ukamwacha Bwana, aliyekutoa katika nchi ya Misri, kutoka nchi ya utumwa.
Deuteronomy 8:14basi mioyo yenu isiwe na kiburi mkamsahau Bwana Mungu wenu aliyewatoa katika nchi ya Misri, kutoka nchi ya utumwa.
Deuteronomy 28:30Utaposa mke, lakini mtu mwingine atakutana naye kimwili. Utajenga nyumba, lakini hutaishi ndani yake. Utapanda shamba la mizabibu, lakini hutakula matunda yake.
Deuteronomy 32:4Yeye ni Mwamba, kazi zake ni kamilifu, 2 njia zake zote ni haki. 1 Mungu mwaminifu ambaye hakosei, 2 yeye ni mnyofu na mwenye haki. 1
Deuteronomy 32:18Mkamwacha Mwamba, aliyewazaa ninyi; 2 mkamsahau Mungu aliyewazaa. 1