Isaiah 19:10
Wafanyao kazi ya kufuma nguo watahuzunishwa, 2 nao vibarua wataugua moyoni. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And they shall be broken in the purposes thereof, all that make sluices and ponds for fish.
In Context
Cross References
Exodus 7:19Bwana akamwambia Mose, “Mwambie Aroni, ‘Chukua ile fimbo yako unyooshe mkono wako juu ya maji ya Misri, juu ya chemchemi na mifereji, juu ya madimbwi na mabwawa yote,’ navyo vitabadilika kuwa damu. Damu itakuwa kila mahali katika Misri, hata kwenye vyombo vya miti na vya mawe.”
Deuteronomy 11:10Nchi mnayoiingia kuimiliki haifanani na nchi ya Misri mlikotoka ambako mlipanda mbegu yenu na kuinywesha, kama bustani ya mboga.