The Bible Software
bible.softwareIsayaIsaya 19 › Isaya 19:11

Isaya 19:11

Maafisa wa Soani ni wapumbavu kabisa, 2 washauri wa Farao wenye busara wanatoa ushauri wa kijinga. 1 Unawezaje kumwambia Farao, 2 “Mimi ni mmojawapo wa watu wenye hekima, 2 mwanafunzi wa wafalme wa zamani”? 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Surely the princes of Zoan are fools, the counsel of the wise counsellors of Pharaoh is become brutish: how say ye unto Pharaoh, I am the son of the wise, the son of ancient kings?

In Context

10Wafanyao kazi ya kufuma nguo watahuzunishwa, 2 nao vibarua wataugua moyoni. 1

12Wako wapi sasa watu wako wenye hekima? 2 Wao wakuonyeshe na kukufahamisha 1 ni nini Bwana Mwenye Nguvu Zote 2 amepanga dhidi ya Misri. 1

Read all of Isaya 19

Cross References

Exodus 8:4Vyura watapanda juu yako, juu ya watu wako na maafisa wako wote.’ ”

Numbers 13:22Wakapanda kupitia Negebu hadi wakafika Hebroni, mahali ambapo Ahimani, Sheshai na Talmai, wazao wa Anaki, waliishi. (Hebroni ulikuwa umejengwa miaka saba kabla ya mji wa Soani ulioko Misri.)

1 Kings 5:10Kwa njia hii Hiramu akampa Solomoni miti yote ya mierezi na magogo ya misunobari kama alivyohitaji,

Job 12:17Yeye huwaondoa washauri wakiwa wametekwa nyara, 2 naye huwapumbaza wanaotoa maamuzi. 1

Psalms 73:22nilikuwa mpumbavu na mjinga, 2 nilikuwa mnyama mkatili mbele yako. 1

Psalms 78:43siku aliyoonyesha ishara zake za ajabu huko Misri, 2 maajabu yake huko Soani. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 19:11

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaya 19:10Isaya 19Isaya 19:12 →