Isaya 19:15
Misri haiwezi kufanya kitu chochote, 2 cha kichwa wala cha mkia, 2 cha tawi la mtende wala cha tete.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Neither shall there be any work for Egypt, which the head or tail, branch or rush, may do.
In Context
Cross References
Proverbs 14:23Kazi zote zinazofanywa kwa bidii huleta faida, 2 bali mazungumzo matupu huelekea umaskini tu. 1
Isaiah 9:14Kwa hiyo Bwana atakatilia mbali kutoka Israeli kichwa na mkia, 2 tawi la mtende na tete katika siku moja. 1
Haggai 1:11Niliita ukame mashambani na milimani, kwenye nafaka, mvinyo mpya, mafuta pamoja na chochote kinachozalishwa na ardhi, juu ya watu na ngʼombe, pamoja na kazi za mikono yenu.”