The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 9 › Isaiah 9:14

Isaiah 9:14

Kwa hiyo Bwana atakatilia mbali kutoka Israeli kichwa na mkia, 2 tawi la mtende na tete katika siku moja. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Therefore the LORD will cut off from Israel head and tail, branch and rush, in one day.

In Context

13Lakini watu hawajamrudia yeye aliyewapiga, 2 wala hawajamtafuta Bwana Mwenye Nguvu Zote. 1

15Wazee na watu mashuhuri ndio vichwa, 2 nao manabii wanaofundisha uongo ndio mkia. 1

Read all of Isaiah 9

Cross References

Isaiah 3:2shujaa na mtu wa vita, 1 mwamuzi na nabii, 2 mwaguzi na mzee, 1

Isaiah 19:15Misri haiwezi kufanya kitu chochote, 2 cha kichwa wala cha mkia, 2 cha tawi la mtende wala cha tete.

Hosea 1:4Kisha Bwana akamwambia Hosea, “Mwite Yezreeli, + 1:4 Yezreeli maana yake Mungu hupanda. kwa kuwa kitambo kidogo nitaiadhibu nyumba ya Yehu kwa ajili ya mauaji ya kule Yezreeli, nami nitaukomesha ufalme wa Israeli.

Hosea 1:9Kisha Bwana akasema, “Mwite Lo-Ami + 1:9 Lo-Ami maana yake Sio watu wangu. kwa maana ninyi si watu wangu, nami si Mungu wenu.

Hosea 5:12Mimi ni kama nondo kwa Efraimu, 2 na kama uozo kwa watu wa Yuda. 1

Hosea 9:11Utukufu wa Efraimu utaruka kama ndege: 2 hakuna kuzaa, hakuna kuchukua mimba, 2 hakuna kutunga mimba. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 9:14

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 9:13Isaiah 9Isaiah 9:15 →