Isaya 19:25
Bwana Mwenye Nguvu Zote atawabariki, akisema, “Baraka iwe kwa Misri watu wangu, kwa Ashuru kazi ya mikono yangu, na kwa Israeli urithi wangu.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
24Katika siku hiyo Israeli itakuwa ya tatu, pamoja na Misri na Ashuru, nao watakuwa baraka kwa dunia.
Cross References
Numbers 6:27“Hivyo wataliweka Jina langu juu ya Waisraeli, nami nitawabariki.”
Deuteronomy 32:9Kwa kuwa fungu la Bwana ni watu wake, 2 Yakobo kura yake ya urithi. 1
Psalms 100:3Jueni kwamba Bwana ndiye Mungu. 2 Yeye ndiye alituumba, sisi tu mali yake; 1 sisi tu watu wake, 2 kondoo wa malisho yake. 1
Psalms 138:8Bwana atatimiza kusudi lake kwangu, 2 Ee Bwana, upendo wako wadumu milele: 2 usiziache kazi za mikono yako.
Isaiah 45:11“Hili ndilo asemalo Bwana, 2 yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli na Muumba wake: 1 Kuhusu mambo yatakayokuja, 2 je, unaniuliza habari za watoto wangu, 2 au kunipa amri kuhusu kazi za mikono yangu? 1
Isaiah 61:9Wazao wao watajulikana miongoni mwa mataifa, 2 na uzao wao miongoni mwa kabila za watu. 1 Wale wote watakaowaona watatambua 2 kuwa ni taifa ambalo Bwana amelibariki.” 1