bible.software › Isaiah › Isaiah 19 › Isaiah 19:8
Isaiah 19:8
Wavuvi watalia na kuomboleza, 2 wale wote watupao ndoano katika Mto Naili, 2 watadhoofika kwa majonzi. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The fishers also shall mourn, and all they that cast angle into the brooks shall lament, and they that spread nets upon the waters shall languish.
In Context
7pia mimea iliyoko kando ya Mto Naili, 2 pale mto unapomwaga maji baharini. 1 Kila shamba lililopandwa kando ya Mto Naili litakauka, 2 litapeperushwa na kutoweka kabisa. 1
9Wale watu wafanyao kazi ya kitani kilichochambuliwa watakata tamaa, 2 wafumaji wa kitani safi watavunjika moyo. 1
Read all of Isaiah 19
Cross References
Numbers 11:5Tunakumbuka wale samaki tuliokula huko Misri bila gharama, pia yale matango, matikitimaji, mboga, vitunguu, na vitunguu saumu.
Habakkuk 1:15Adui mwovu anawavuta wote kwa ndoana, 2 anawakamata katika wavu wake, 1 anawakusanya katika juya lake; 2 kwa hiyo anashangilia na anafurahi. 1
This Verse In Other Editions
Study Isaiah 19:8