The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 19 › Isaiah 19:7

Isaiah 19:7

pia mimea iliyoko kando ya Mto Naili, 2 pale mto unapomwaga maji baharini. 1 Kila shamba lililopandwa kando ya Mto Naili litakauka, 2 litapeperushwa na kutoweka kabisa. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

The paper reeds by the brooks, by the mouth of the brooks, and every thing sown by the brooks, shall wither, be driven away, and be no more.

In Context

6Mifereji itanuka; 2 vijito vya Misri vitapungua 2 na kukauka. 1 Mafunjo na nyasi vitanyauka, 2

8Wavuvi watalia na kuomboleza, 2 wale wote watupao ndoano katika Mto Naili, 2 watadhoofika kwa majonzi. 1

Read all of Isaiah 19

Cross References

Isaiah 23:3Kwenye maji makuu 2 nafaka za Shihori zilikuja; 1 mavuno ya Naili yalikuwa mapato ya Tiro, 2 naye akawa soko la mataifa. 1

Jeremiah 14:4Ardhi imepasuka nyufa 2 kwa sababu hakuna mvua katika nchi; 1 wakulima wana hofu 2 na wanafunika vichwa vyao. 1

Joel 1:17Mbegu zinakauka 2 chini ya mabonge ya udongo. 1 Ghala zimeachwa katika uharibifu, 2 ghala za nafaka zimebomolewa, 2 kwa maana hakuna nafaka. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 19:7

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 19:6Isaiah 19Isaiah 19:8 →