Isaiah 2:13
kwa mierezi yote ya Lebanoni iliyo mirefu sana, 2 na mialoni yote ya Bashani, 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And upon all the cedars of Lebanon, that are high and lifted up, and upon all the oaks of Bashan,
In Context
14kwa milima yote mirefu 2 na vilima vyote vilivyoinuka, 1
Cross References
Psalms 29:5Sauti ya Bwana huvunja mierezi; 2 Bwana huvunja vipande vipande 2 mierezi ya Lebanoni. 1
Isaiah 14:8Hata misunobari na mierezi ya Lebanoni 2 inashangilia mbele yako na kusema, 1 “Basi kwa sababu umeangushwa chini, 2 hakuna mkata miti atakayekuja kutukata.” 1
Ezekiel 31:3Angalia Ashuru, wakati fulani ilikuwa mwerezi huko Lebanoni, 2 ukiwa na matawi mazuri ukitia msitu kivuli; 1 ulikuwa mrefu sana, 2 kilele chake kilipita majani ya miti yote. 1
Zechariah 11:1Fungua milango yako, ee Lebanoni, 2 ili moto uteketeze mierezi yako! 1