The Bible Software
bible.software › Zekaria › Zekaria 11 › Zekaria 11:1

Zekaria 11:1

Fungua milango yako, ee Lebanoni, 2 ili moto uteketeze mierezi yako! 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Open thy doors, O Lebanon, that the fire may devour thy cedars.

In Context

2Piga yowe, ee mti wa msunobari, 2 kwa kuwa mwerezi umeanguka; 2 miti ya fahari imeharibiwa! 1 Piga yowe, enyi mialoni ya Bashani, 2 msitu mnene umefyekwa! 1

Read all of Zekaria 11

Cross References

Deuteronomy 32:22Kwa maana moto umewashwa kwa hasira yangu, 2 ule uwakao hadi kwenye vina vya mauti. 1 Utateketeza dunia pamoja na mazao yake, 2 na kuwasha moto katika misingi ya milima. 1

Jeremiah 22:7Nitawatuma waharabu dhidi yako, 2 kila mtu akiwa na silaha zake, 1 nao watazikata boriti zako nzuri za mierezi 2 na kuzitupa motoni.

Ezekiel 31:3Angalia Ashuru, wakati fulani ilikuwa mwerezi huko Lebanoni, 2 ukiwa na matawi mazuri ukitia msitu kivuli; 1 ulikuwa mrefu sana, 2 kilele chake kilipita majani ya miti yote. 1

Habakkuk 2:17Ukatili ulioifanyia Lebanoni utakufunika, 2 na uharibifu uliowafanyia wanyama utakutisha. 1 Kwa sababu umemwaga damu ya mtu; 2 umeharibu nchi na miji na kila mmoja aliyeko ndani yake. 1

Zechariah 10:10Nitawarudisha kutoka Misri 2 na kuwakusanya toka Ashuru. 1 Nitawaleta katika nchi ya Gileadi na Lebanoni, 2 na hapo hapatakuwa na nafasi ya kuwatosha. 1

Matthew 24:1Yesu akatoka Hekaluni na alipokuwa akienda zake, wanafunzi wake wakamwendea ili kumwonyesha majengo ya Hekalu.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Zekaria 11:1

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
Zekaria 11Zekaria 11:2 →