Isaiah 2:15
kwa kila mnara ulio mrefu sana 2 na kila ukuta wenye ngome, 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And upon every high tower, and upon every fenced wall,
In Context
14kwa milima yote mirefu 2 na vilima vyote vilivyoinuka, 1
Cross References
Isaiah 30:25Katika siku ile ya mauaji makuu, wakati minara itakapoanguka, vijito vya maji vitatiririka juu ya kila mlima mrefu na kila kilima kilichoinuka sana.