Isaiah 2:16
kwa kila meli ya biashara, + 2:16 Au: ya Tarshishi (ona pia 1Fal 10:22; 22:48; 2Nya 9:21; 20:36; Isa 60:9 .) 2 na kila chombo cha baharini cha fahari. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And upon all the ships of Tarshish, and upon all pleasant pictures.
In Context
15kwa kila mnara ulio mrefu sana 2 na kila ukuta wenye ngome, 1
Cross References
Numbers 33:52wafukuzeni wakazi wote wa nchi iliyo mbele yenu. Haribuni sanamu zao zote za kuchongwa, na sanamu zilizotengenezwa kwa kuyeyusha chuma, na kupabomoa mahali pao pa ibada.
1 Kings 22:48Wakati huu Yehoshafati akaunda merikebu nyingi za biashara + 22:48 Au: za Tarshishi (ona pia 1Fal 10:22; 2Nya 9:21; 20:36; Isa 2:16; 60:9 ). ili kwenda Ofiri kuchukua dhahabu, lakini kamwe hazikusafiri, kwa maana zilivunjika huko Esion-Geberi.
Isaiah 23:1Neno kuhusu Tiro: 1 Ombolezeni, enyi meli za Tarshishi! 2 Kwa kuwa Tiro imeangamizwa, 2 imeachwa bila nyumba wala bandari. 1 Kuanzia nchi ya Kitimu + 23:1 Kitimu hapa ni Kipro, kisiwa katika Bahari ya Mediterania. 2 neno limewajia. 1
Revelation 18:11“Wafanyabiashara wa dunia watalia na kumwomboleza kwa sababu hakuna anunuaye bidhaa zao tena: