The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 30 › Isaiah 30:25

Isaiah 30:25

Katika siku ile ya mauaji makuu, wakati minara itakapoanguka, vijito vya maji vitatiririka juu ya kila mlima mrefu na kila kilima kilichoinuka sana.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And there shall be upon every high mountain, and upon every high hill, rivers and streams of waters in the day of the great slaughter, when the towers fall.

In Context

24Maksai na punda walimao watakula majani makavu na vyakula vilivyotengenezwa, vinavyotandazwa kwa uma na sepeto.

26Mwezi utaangaza kama jua, nao mwanga wa jua utangʼaa mara saba zaidi, kama nuru ya siku saba, wakati Bwana atakapoyafunga majeraha ya watu wake na kuwaponya vidonda alivyowatia. 1

Read all of Isaiah 30

Cross References

Isaiah 2:14kwa milima yote mirefu 2 na vilima vyote vilivyoinuka, 1

Isaiah 32:14Ngome itaachwa, 2 mji wenye kelele nyingi utahamwa, 1 ngome ndani ya mji na mnara wa ulinzi vitakuwa ukiwa milele, 2 mahali pazuri pa punda na malisho ya makundi ya kondoo, 1

Isaiah 35:6Ndipo kilema atarukaruka kama kulungu, 2 nao ulimi wa aliye bubu utapaza sauti kwa shangwe. 1 Maji yatatiririka kwa kasi katika nyika, 2 na vijito katika jangwa. 1

Isaiah 41:18Nitaifanya mito itiririke juu ya vilima vilivyo kame, 2 nazo chemchemi ndani ya mabonde. 1 Nitaligeuza jangwa liwe mabwawa ya maji, 2 nayo ardhi iliyokauka kuwa chemchemi za maji. 1

Isaiah 44:3Kwa maana nitamimina maji juu ya nchi yenye kiu, 2 na vijito vya maji juu ya ardhi iliyokauka; 1 nitamimina Roho wangu juu ya watoto wako, 2 nayo baraka yangu juu ya wazao wako. 1

Ezekiel 17:22“ ‘Hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo: Mimi mwenyewe nitachukua chipukizi kutoka kwenye kilele cha juu sana cha mwerezi na kukipanda, nitavunja kitawi kichanga kutoka matawi yake ya juu kabisa na kukipanda juu ya mlima mrefu ulioinuka sana.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 30:25

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 30:24Isaiah 30Isaiah 30:26 →