Isaiah 2:17
Majivuno ya mwanadamu yatashushwa, 2 na kiburi cha wanadamu kitanyenyekezwa, 1 Bwana peke yake ndiye atatukuzwa siku hiyo, 2
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
18nazo sanamu zitatoweka kabisa. 1
Cross References
Psalms 46:11Bwana Mwenye Nguvu Zote yu pamoja nasi; 2 Mungu wa Yakobo ni ngome yetu.
Isaiah 5:16Lakini Bwana Mwenye Nguvu Zote atatukuzwa 2 kwa ajili ya haki yake, 1 naye Mungu Mtakatifu atajionyesha mwenyewe 2 kuwa mtakatifu kwa haki yake. 1
Jeremiah 48:29“Tumesikia juu ya kiburi cha Moabu: 2 kutakabari kwake kwa kiburi na majivuno, 1 kiburi chake na ufidhuli wake, 2 na kujivuna kwa moyo wake. 1