Isaiah 5:16
Lakini Bwana Mwenye Nguvu Zote atatukuzwa 2 kwa ajili ya haki yake, 1 naye Mungu Mtakatifu atajionyesha mwenyewe 2 kuwa mtakatifu kwa haki yake. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Leviticus 10:3Kisha Mose akamwambia Aroni, “Hili ndilo alilonena Bwana wakati aliposema: 1 “ ‘Miongoni mwa wale watakaonikaribia 2 nitajionyesha kuwa mtakatifu; 1 machoni pa watu wote 2 nitaheshimiwa.’ ” Aroni akanyamaza.
1 Chronicles 29:11Ukuu na uweza, ni vyako, Ee Bwana, 2 na utukufu na enzi na uzuri, 1 kwa kuwa kila kilichoko mbinguni na duniani 2 ni chako wewe. 1 Ee Bwana, ufalme ni wako; 2 umetukuzwa kuwa mkuu juu ya yote. 1
Psalms 21:13Ee Bwana, utukuzwe katika nguvu zako, 2 tutaimba na kusifu nguvu zako.
Isaiah 2:9Kwa hiyo mwanadamu atashushwa 2 na binadamu atanyenyekezwa: 2 usiwasamehe. 1
Isaiah 2:17Majivuno ya mwanadamu yatashushwa, 2 na kiburi cha wanadamu kitanyenyekezwa, 1 Bwana peke yake ndiye atatukuzwa siku hiyo, 2
Isaiah 8:13Bwana Mwenye Nguvu Zote ndiye peke yake 2 ikupasaye kumheshimu kuwa mtakatifu, 1 ndiye peke yake utakayemwogopa, 2 ndiye peke yake utakayemhofu, 1