Isaiah 2:19
Watu watakimbilia kwenye mapango ndani ya miamba, 2 na kwenye mahandaki ardhini 1 kutokana na utisho wa Bwana 2 na utukufu wa enzi yake, 2 ainukapo kuitikisa dunia. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
18nazo sanamu zitatoweka kabisa. 1
Cross References
1 Samuel 14:11Basi wote wawili wakajionyesha kwa doria ya Wafilisti. Wafilisti wakasema, “Tazama! Waebrania wanatambaa toka mashimoni walimokuwa wamejificha.”
Psalms 7:6Amka kwa hasira yako, Ee Bwana, 2 inuka dhidi ya ghadhabu ya adui zangu. 2 Amka, Mungu wangu, uamue haki. 1
Psalms 76:7Wewe peke yako ndiye wa kuogopwa. 2 Ni nani awezaye kusimama mbele yako unapokasirika? 1
Isaiah 2:10Ingieni kwenye miamba, 2 jificheni ardhini 1 kutokana na utisho wa Bwana 2 na utukufu wa enzi yake! 1
Isaiah 7:19Wote watakuja na kukaa kwenye mabonde yenye miteremko, na kwenye nyufa za miamba, kwenye vichaka vyote vyenye miiba, na kwenye mashimo yote ya maji.
Jeremiah 16:16“Lakini sasa nitawaagiza wavuvi wengi,” asema Bwana, “nao watawavua. Baada ya hilo, nitawaagizia wawindaji wengi, nao watawawinda kwenye kila mlima na kilima, na katika nyufa za miamba.