Isaiah 2:10
Ingieni kwenye miamba, 2 jificheni ardhini 1 kutokana na utisho wa Bwana 2 na utukufu wa enzi yake! 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
9Kwa hiyo mwanadamu atashushwa 2 na binadamu atanyenyekezwa: 2 usiwasamehe. 1
Cross References
Judges 6:1Waisraeli wakafanya tena yaliyo maovu mbele za Bwana, naye kwa miaka saba Bwana akawatia mikononi mwa Wamidiani.
Job 31:23Kwa kuwa niliogopa uharibifu kutoka kwa Mungu, 2 nami kwa kuuogopa utukufu wake sikuweza kufanya mambo kama hayo. 1
Psalms 90:11Ni nani ajuaye nguvu za hasira yako? 2 Kwa maana ghadhabu yako ni kubwa 2 kama hofu tunayopaswa kuwa nayo kwako. 1
Isaiah 6:3Nao walikuwa wakiitana kila mmoja na mwenzake: 1 “Mtakatifu, Mtakatifu, Mtakatifu 2 ni Bwana Mwenye Nguvu Zote; 2 dunia yote imejaa utukufu wake.”
Isaiah 42:22Lakini hili ni taifa lililoibwa na kutekwa nyara, 2 wote wamenaswa katika mashimo, 2 au wamefichwa katika magereza. 1 Wamekuwa nyara, 2 wala hapana yeyote awaokoaye. 1 Wamefanywa mateka, 2 wala hapana yeyote asemaye, “Warudishe.” 1
Jeremiah 10:10Lakini Bwana ni Mungu wa kweli, 2 yeye ndiye Mungu aliye hai, Mfalme wa milele. 1 Anapokasirika, dunia hutetemeka, 2 mataifa hayawezi kustahimili hasira yake.