Isaiah 2:20
Siku ile, watu watawatupia 2 panya na popo 1 sanamu zao za fedha na za dhahabu, 2 walizozitengeneza ili waziabudu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Leviticus 11:19korongo, koikoi wa aina yoyote, hudihudi na popo.
Isaiah 10:3Mtafanya nini siku ya kutoa hesabu, 2 wakati maafa yatakapokuja kutoka mbali? 1 Mtamkimbilia nani awape msaada? 2 Mtaacha wapi mali zenu? 1
Isaiah 31:7Kwa kuwa katika siku ile kila mmoja wenu atazikataa sanamu za fedha na za dhahabu zilizotengenezwa kwa mikono yenu yenye dhambi. 1
Isaiah 46:6Wengine humwaga dhahabu kutoka kwenye mifuko yao, 2 na kupima fedha kwenye mizani; 1 huajiri mfua dhahabu kutengeneza mungu, 2 kisha huisujudia na kuiabudu. 1
Zephaniah 2:11Bwana atakuwa wa kuhofisha kwao 2 atakapoangamiza miungu yote ya nchi. 1 Mataifa katika kila pwani yatamwabudu, 2 kila moja katika nchi yake. 1 Dhidi Ya Kushi 1