Isaiah 2:3
Mataifa mengi yatakuja na kusema, 1 “Njooni, twendeni mlimani mwa Bwana, 2 kwenye nyumba ya Mungu wa Yakobo. 1 Atatufundisha njia zake, 2 ili tuweze kuenenda katika mapito yake.” 1 Sheria itatoka Sayuni, 2 neno la Bwana litatoka Yerusalemu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Deuteronomy 6:1Haya ndiyo maagizo, amri na sheria ambazo Bwana Mungu wenu aliniagiza niwafundishe ninyi ili mpate kuyashika katika nchi ambayo ninyi mnavuka Yordani kuimiliki,
Esther 9:27Wayahudi wakachukua na kuifanya desturi kwamba wao na wazao wao na wote ambao walijiunga nao wangefanya bila kuacha kushika siku hizi mbili kila mwaka, kwa njia ilivyoelekezwa na kwa wakati wake.
Psalms 102:23Katika kuishi kwangu alivunja nguvu zangu, 2 akafupisha siku zangu. 1
Isaiah 1:26Nitawarudishia waamuzi wenu kama ilivyokuwa siku za zamani, 2 nao washauri wenu kama ilivyokuwa mwanzoni. 1 Baadaye utaitwa, 2 Mji wa Haki, 2 Mji Mwaminifu.” 1
Isaiah 19:23Katika siku hiyo kutakuwepo na njia kuu kutoka Misri hadi Ashuru. Waashuru watakwenda Misri, na Wamisri watakwenda Ashuru. Wamisri na Waashuru wataabudu pamoja.
Isaiah 51:4“Nisikilizeni, watu wangu; 2 nisikieni, taifa langu: 1 Sheria itatoka kwangu; 2 haki yangu itakuwa nuru kwa mataifa. 1