The Bible Software
bible.software › Isaya › Isaya 1 › Isaya 1:26

Isaya 1:26

Nitawarudishia waamuzi wenu kama ilivyokuwa siku za zamani, 2 nao washauri wenu kama ilivyokuwa mwanzoni. 1 Baadaye utaitwa, 2 Mji wa Haki, 2 Mji Mwaminifu.” 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And I will restore thy judges as at the first, and thy counsellors as at the beginning: afterward thou shalt be called, The city of righteousness, the faithful city.

In Context

25Nitauelekeza mkono wangu dhidi yenu, 2 nitawasafisha takataka zenu zote 2 na kuwaondolea unajisi wenu wote. 1

27Sayuni itakombolewa kwa haki, 2 wale waliomo ndani yake waliotubu kwa uaminifu. 1

Read all of Isaya 1

Cross References

Numbers 12:3(Basi Mose alikuwa mtu mnyenyekevu sana, mnyenyekevu kuliko mtu mwingine yeyote katika uso wa dunia.)

1 Samuel 12:2Sasa mnaye mfalme kama kiongozi wenu. Lakini kwa habari yangu mimi ni mzee na nina mvi, nao wanangu wapo hapa pamoja nanyi. Nimekuwa kiongozi wenu tangu ujana wangu mpaka siku hii ya leo.

Isaiah 2:3Mataifa mengi yatakuja na kusema, 1 “Njooni, twendeni mlimani mwa Bwana, 2 kwenye nyumba ya Mungu wa Yakobo. 1 Atatufundisha njia zake, 2 ili tuweze kuenenda katika mapito yake.” 1 Sheria itatoka Sayuni, 2 neno la Bwana litatoka Yerusalemu. 1

Isaiah 33:5Bwana ametukuka, kwa kuwa anakaa mahali palipoinuka, 2 ataijaza Sayuni kwa haki na uadilifu. 1

Isaiah 60:17Badala ya shaba nitakuletea dhahabu, 2 na fedha badala ya chuma. 1 Badala ya mti nitakuletea shaba, 2 na chuma badala ya mawe. 1 Nitafanya amani kuwa mtawala wako, 2 na haki kuwa mfalme wako. 1

Isaiah 62:1Kwa ajili ya Sayuni sitanyamaza, 2 kwa ajili ya Yerusalemu sitatulia, 1 mpaka haki yake itakapoangaza kama mapambazuko, 2 wokovu wake kama mwanga wa moto. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 1:26

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaya 1:25Isaya 1Isaya 1:27 →