Isaiah 2:4
Atahukumu kati ya mataifa 2 na ataamua migogoro ya mataifa mengi. 1 Watafua panga zao ziwe majembe, 2 na mikuki yao kuwa miundu ya kukata matawi. 1 Taifa halitainua upanga dhidi ya taifa jingine, 2 wala hawatajifunza vita tena. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
5Njooni, enyi nyumba ya Yakobo, 2 tutembeeni katika nuru ya Bwana. 1 Siku Ya Bwana 1
Cross References
Psalms 46:9Anakomesha vita hata miisho ya dunia, 2 anakata upinde na kuvunjavunja mkuki, 2 anateketeza ngao kwa moto. 1
Psalms 72:3Milima italeta mafanikio kwa watu, 2 vilima tunda la haki. 1
Psalms 96:13itaimba mbele za Bwana kwa maana anakuja, 2 anakuja kuihukumu dunia. 1 Ataihukumu dunia kwa haki, 2 na mataifa katika kweli yake.
Isaiah 9:5Kila kiatu cha askari kilichotumiwa vitani, 2 na kila vazi lililovingirishwa katika damu 1 vitawekwa kwa ajili ya kuchomwa, 2 vitakuwa kuni za kuwasha moto. 1
Isaiah 11:3naye atafurahia kumcha Bwana. 1 Hatahukumu kwa yale ayaonayo kwa macho yake, 2 wala kuamua kwa yale ayasikiayo kwa masikio yake, 1
Isaiah 11:6Mbwa mwitu ataishi pamoja na mwana-kondoo, 2 naye chui atalala pamoja na mbuzi, 1 ndama, mwana simba na ngʼombe wa mwaka mmoja watakaa pamoja, 2 naye mtoto mdogo atawaongoza. 1