Isaya 2:6
Umewatelekeza watu wako, 2 nyumba ya Yakobo. 1 Wamejaa ushirikina utokao Mashariki, 2 wanapiga ramli kama Wafilisti 2 na wanashikana mikono na wapagani. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
5Njooni, enyi nyumba ya Yakobo, 2 tutembeeni katika nuru ya Bwana. 1 Siku Ya Bwana 1
Cross References
Exodus 34:16Unapowachagua baadhi ya binti zao kuwa wake wa wana wenu na binti hao wakajifanyia ukahaba kwa miungu yao, watawaongoza wana wenu kufanya vivyo hivyo.
Leviticus 20:6“ ‘Mimi nitauelekeza uso wangu dhidi ya mtu anayeenda kwa waaguzi na wenye pepo, na hivyo kujifanyia ukahaba kwa kuwafuata, nami nitamkatilia mbali na watu wake.
Numbers 25:1Israeli alipokuwa akikaa Shitimu, wanaume wa Israeli walianza kuzini na wanawake wa Kimoabu,
Deuteronomy 18:14Mataifa mtakayowafukuza husikiliza wale wafanyao ulozi na uaguzi. Lakini kwenu ninyi, Bwana Mungu wenu hajawaruhusu kufanya hivyo.
Deuteronomy 31:16Kisha Bwana akamwambia Mose: “Unakwenda kupumzika na baba zako, nao watu hawa hivi karibuni watazini na miungu migeni ya nchi wanayoingia. Wataniacha na kuvunja Agano nililofanya nao.
1 Samuel 6:2Wafilisti waliwaita makuhani wa Dagoni na waaguzi, na kuwaambia, “Tutafanya nini na hili Sanduku la Bwana? Tuambieni jinsi tutakavyolirudisha mahali pake.”