Isaiah 2:7
Nchi yao imejaa fedha na dhahabu, 2 hakuna mwisho wa hazina zao. 1 Nchi yao imejaa farasi, 2 hakuna mwisho wa magari yao. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
8Nchi yao imejaa sanamu, 2 wanasujudia kazi za mikono yao, 2 vitu vile vidole vyao vimevitengeneza. 1
Cross References
Deuteronomy 17:16Hata hivyo, kamwe mfalme asijipatie hesabu kubwa ya farasi kwa ajili yake mwenyewe, au kuwafanya watu warudi Misri ili kupata farasi zaidi, kwa maana Bwana amekuambia, “Hamtairudia njia ile tena.”
1 Kings 10:21Vikombe vyote vya Mfalme Solomoni vya kunywea vilikuwa vya dhahabu na vyombo vyote vya nyumbani katika Jumba la Kifalme la Msitu wa Lebanoni vilikuwa vya dhahabu safi. Hakukuwa na kitu kilichotengenezwa kwa fedha, kwa sababu fedha ilionekana ya thamani ndogo siku za Solomoni.
Job 3:15pamoja na watawala waliokuwa na dhahabu, 2 waliozijaza nyumba zao kwa fedha. 1
Isaiah 30:16Mlisema, ‘Hapana, tutakimbia kwa farasi.’ 2 Kwa hiyo mtakimbia! 1 Mlisema, ‘Tutakimbia kwa farasi waendao kasi.’ 2 Kwa hiyo wanaowafukuza watakwenda kasi! 1
Jeremiah 5:27Kama vitundu vilivyojaa ndege, 2 nyumba zao zimejaa udanganyifu; 1 wamekuwa matajiri na wenye nguvu, 2
Micah 5:10“Katika siku ile,” asema Bwana, 1 “nitaangamiza farasi zenu katikati yenu 2 na kubomoa magari yenu ya vita. 1