Isaiah 20:3
Kisha Bwana akasema, “Kama vile mtumishi wangu Isaya alivyotembea uchi na bila viatu kwa miaka mitatu, kama ishara na dalili mbaya dhidi ya nchi ya Misri na Kushi,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Isaiah 8:18Niko hapa, pamoja na watoto ambao Bwana amenipa. Sisi ni ishara na mfano wake katika Israeli, kutoka kwa Bwana Mwenye Nguvu Zote, anayeishi juu ya Mlima Sayuni.
Isaiah 19:4Nitawatia Wamisri 2 mikononi mwa bwana mkatili 1 na mfalme mkali atatawala juu yao,” 2 asema Bwana, Bwana Mwenye Nguvu Zote. 1
Isaiah 43:3Kwa kuwa Mimi ndimi Bwana, Mungu wako, 2 yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli, Mwokozi wako. 1 Ninaitoa Misri kuwa fidia yako, 2 Kushi na Seba badala yako. 1
Ezekiel 4:1“Mwanadamu, sasa chukua tofali, uliweke mbele yako na uchore juu yake ramani ya mji wa Yerusalemu.
Ezekiel 30:4Upanga utakuja dhidi ya Misri, 2 nayo maumivu makuu yataijia Ethiopia. 1 Mauaji yatakapoangukia Misri, 2 utajiri wake utachukuliwa 2 na misingi yake itabomolewa.
Revelation 11:2Lakini usiupime ua wa nje wa Hekalu, uache, kwa sababu ua huo wamepewa watu wa Mataifa. Hao wataukanyagakanyaga mji mtakatifu kwa muda wa miezi arobaini na miwili.