Isaya 8:18
Niko hapa, pamoja na watoto ambao Bwana amenipa. Sisi ni ishara na mfano wake katika Israeli, kutoka kwa Bwana Mwenye Nguvu Zote, anayeishi juu ya Mlima Sayuni.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
17Nitamngojea Bwana, 2 ambaye ameificha nyumba ya Yakobo uso wake. 1 Nitaliweka tumaini langu kwake.
Cross References
Psalms 9:11Mwimbieni Bwana sifa, amefanywa mtawala Sayuni, 2 tangazeni miongoni mwa mataifa, yale aliyoyatenda. 1
Psalms 22:30Wazao wa baadaye watamtumikia yeye; 2 vizazi vijavyo vitajulishwa habari za Bwana. 1
Isaiah 7:3Ndipo Bwana akamwambia Isaya, “Toka uende, wewe na mwanao Shear-Yashubu, + 7:3 Shear-Yashubu maana yake Mabaki Watarudi. mkutane na Ahazi huko mwisho wa mfereji wa Bwawa la Juu, kwenye barabara iendayo Shamba la Dobi.
Isaiah 8:3Kisha nikaenda kwa nabii mke, naye akapata mimba, akazaa mwana. Kisha Bwana akaniambia, “Mwite huyo mtoto Maher-Shalal-Hash-Bazi.
Isaiah 14:32Ni jibu gani litakalotolewa 2 kwa wajumbe wa taifa hilo? 1 “ Bwana ameifanya imara Sayuni, 2 nako ndani yake watu wake walioonewa watapata kimbilio.”
Isaiah 53:10Lakini yalikuwa ni mapenzi ya Bwana 2 kumchubua na kumsababisha ateseke. 1 Ingawa Bwana amefanya maisha yake 2 kuwa sadaka ya hatia, 1 ataona uzao wake na kuishi siku nyingi, 2 nayo mapenzi ya Bwana yatafanikiwa mkononi mwake. 1