Isaiah 19:4
Nitawatia Wamisri 2 mikononi mwa bwana mkatili 1 na mfalme mkali atatawala juu yao,” 2 asema Bwana, Bwana Mwenye Nguvu Zote. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
5Maji ya mito yatakauka, 2 chini ya mto kutakauka kwa jua. 1
Cross References
Psalms 31:8Hukunikabidhi kwa adui yangu 2 bali umeiweka miguu yangu mahali penye nafasi. 1
Isaiah 20:3Kisha Bwana akasema, “Kama vile mtumishi wangu Isaya alivyotembea uchi na bila viatu kwa miaka mitatu, kama ishara na dalili mbaya dhidi ya nchi ya Misri na Kushi,
Jeremiah 46:26Nitawatia mikononi mwa wale wanaotafuta uhai wao, yaani Nebukadneza mfalme wa Babeli na maafisa wake. Hatimaye, hata hivyo, Misri itakaliwa kama nyakati zilizopita,” asema Bwana. 1