Isaiah 20:5
Wale waliotegemea Kushi na kujivunia Misri wataogopa na kuaibika.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And they shall be afraid and ashamed of Ethiopia their expectation, and of Egypt their glory.
In Context
Cross References
2 Kings 18:21Tazama sasa, unaitegemea Misri, fimbo ile ya mwanzi uliopasuka, ambayo huuchoma na kuujeruhi mkono wa mtu akiiegemea! Hivyo ndivyo alivyo Farao mfalme wa Misri, kwa wote wanaomtegemea.
Isaiah 30:3Lakini ulinzi wa Farao utakuwa kwa aibu yenu, 2 kivuli cha Misri kitawaletea fedheha. 1
Isaiah 30:7kuvipeleka Misri, 2 ambaye msaada wake haufai kabisa. 1 Kwa hiyo nimemwita “Rahabu Asiyefanya Chochote.” 1
Jeremiah 9:23Hili ndilo asemalo Bwana: 1 “Mwenye hekima asijisifu katika hekima yake, 2 au mwenye nguvu ajisifu katika nguvu zake, 2 wala tajiri ajisifu katika utajiri wake, 1
Jeremiah 46:25Bwana Mwenye Nguvu Zote, Mungu wa Israeli, asema: “Nakaribia kuleta adhabu juu ya Amoni mungu wa Thebesi, + 46:25 Thebesi kwa Kiebrania ni No (au No-Amoni), mji katika Misri. na juu ya Farao, Misri na miungu yake, na wafalme wake, pamoja na wale wanaomtegemea Farao.
Ezekiel 29:7Walipokushika kwa mikono yao, ulivunjika na kuchana mabega yao; walipokuegemea, ulivunjika na migongo yao ikateguka.