Isaiah 30:7
kuvipeleka Misri, 2 ambaye msaada wake haufai kabisa. 1 Kwa hiyo nimemwita “Rahabu Asiyefanya Chochote.” 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 76:8Kutoka mbinguni ulitamka hukumu, 2 nayo nchi ikaogopa, ikawa kimya: 1
Proverbs 25:19Kama vile jino bovu au mguu uliolemaa, 2 ndivyo ilivyo kumtegemea mtu asiye mwaminifu wakati wa shida. 1
Isaiah 7:4Mwambie, ‘Uwe mwangalifu, utulie na usiogope. Usife moyo kwa ajili ya watu hawa wawili walio kama visiki vya kuni vifukavyo moshi, kwa ajili ya hasira kali ya Resini na Aramu na ya mwana wa Remalia.
Isaiah 30:15Hili ndilo Bwana Mwenyezi, yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli, asemalo: 1 “Katika kutubu na kupumzika ndio wokovu wenu, 2 katika kutulia na kutumaini ndizo nguvu zenu, 2 lakini hamkutaka. 1
Isaiah 31:2Hata hivyo yeye pia ana hekima na anaweza kuleta maafa, 2 wala hayatangui maneno yake. 1 Yeye atainuka dhidi ya nyumba ya mwovu, 2 dhidi ya wale ambao huwasaidia watenda mabaya. 1
Isaiah 51:9Amka, Amka! Jivike nguvu, 2 ewe mkono wa Bwana, 1 Amka, kama siku zilizopita, 2 kama vile vizazi vya zamani. 1 Si ni wewe uliyemkata Rahabu vipande vipande, 2 uliyemchoma yule joka? 1