The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 30 › Isaiah 30:3

Isaiah 30:3

Lakini ulinzi wa Farao utakuwa kwa aibu yenu, 2 kivuli cha Misri kitawaletea fedheha. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Therefore shall the strength of Pharaoh be your shame, and the trust in the shadow of Egypt your confusion.

In Context

2wale washukao kwenda Misri 2 bila kutaka shauri langu, 1 wanaotafuta msaada wa ulinzi wa Farao, 2 watafutao kivuli cha Misri kwa ajili ya kimbilio. 1

4Ingawa wana maafisa katika Soani 2 na wajumbe wamewasili katika Hanesi, 1

Read all of Isaiah 30

Cross References

Proverbs 25:19Kama vile jino bovu au mguu uliolemaa, 2 ndivyo ilivyo kumtegemea mtu asiye mwaminifu wakati wa shida. 1

Isaiah 30:5kila mmoja ataaibishwa 2 kwa sababu ya taifa lisilowafaa kitu, 1 ambalo haliwaletei msaada wala faida, 2 bali aibu tu na fedheha.”

Isaiah 45:16Wote watengenezao sanamu wataaibika na kutahayarika; 2 wataenda kutahayarika pamoja. 1

Jeremiah 17:5Hili ndilo asemalo Bwana: 1 “Amelaaniwa yeye amtegemeaye mwanadamu, 2 ategemeaye mwenye mwili 2 kwa ajili ya nguvu zake, 1 ambaye moyo wake 2 umemwacha Bwana. 1

Jeremiah 37:7“Hili ndilo asemalo Bwana, Mungu wa Israeli: Mwambie mfalme wa Yuda aliyekutuma uniulize mimi, ‘Jeshi la Farao lililotoka kuja kukusaidia litarudi katika nchi yake yenyewe, yaani Misri.

Ezekiel 29:7Walipokushika kwa mikono yao, ulivunjika na kuchana mabega yao; walipokuegemea, ulivunjika na migongo yao ikateguka.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 30:3

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 30:2Isaiah 30Isaiah 30:4 →