Isaiah 21:10
Ee watu wangu, mliopondwa kwenye sakafu ya kupuria, 2 ninawaambia kile nilichokisikia 1 kutoka kwa Bwana Mwenye Nguvu Zote, 2 kutoka kwa Mungu wa Israeli. 1 Unabii Dhidi Ya Edomu
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
1 Kings 22:14Lakini Mikaya akasema, “Hakika kama Bwana aishivyo, nitamwambia kile tu Bwana atakachoniambia.”
Isaiah 28:28Nafaka lazima isagwe ili kutengeneza mkate, 2 kwa hiyo mtu haendelei kuipura daima. 1 Ingawa huendesha magurudumu ya gari lake la kupuria juu yake, 2 farasi wake hawasagi. 1
Jeremiah 23:28Mwache nabii aliye na ndoto aseme ndoto yake, lakini yule aliye na neno langu na aliseme kwa uaminifu. Kwa maana jani kavu lina uhusiano gani na ngano?” asema Bwana.
Ezekiel 3:17“Mwanadamu, nimekufanya uwe mlinzi wa nyumba ya Israeli, kwa hiyo sikia neno nisemalo, ukawape onyo litokalo kwangu.
Micah 4:13“Inuka upure, ee Binti Sayuni, 2 kwa kuwa nitakupa pembe za chuma; 1 nitakupa kwato za shaba 2 na utavunja vipande vipande mataifa mengi.” 1 Utatoa mapato yao waliopata kwa udanganyifu kwa Bwana, 2 utajiri wao kwa Bwana wa dunia yote.
Matthew 3:12Pepeto lake liko mkononi mwake, naye atasafisha sakafu yake ya kupuria, na kuikusanya ngano ghalani na kuyateketeza makapi kwa moto usiozimika.” 1 Yesu Abatizwa (Marko 1:9-11; Luka 3:21-22)